RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT

Na Mwandishi Wetu Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo January 16 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Umoja  wa Wanawake Tanzania (UWT) ,Ikulu Zanzibar. Uongozi wa Jumuiya hiyo uliongozwa  na Mwenyekiti wa UWT Taifa